Kiswahili

Kama idara tumesimama imara na hulka yetu ni kupeana shukrani sio nuksani kwa halmashauri ya shule kwa kuwa nasi bega kwa bega mpaka hapa tumefika, ni kweli tumetoka mbali na mbali tunaenda. Azma yetu ni kuwakuza wanafunzi kifikra kutambua lengo na dhima ya lugha kitaifa na kimataifa.

Mkawini mkono wake utufikie tuweze kufikia upeo tufikirio hapa shule. Amina!!! Amina!!!